RECHO ATAMKA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI AKITAKA MWANAUME WA KUMTULIZA WAKATI WA USIKU AKIWA KATIKA CONCERT YA KIGOMA-ALL STARS HUKO MOMBASA
Posted in
No comments
Saturday, December 14, 2013 By Unknown
Msanii wa mziki kutoka Tanzania, Recho amewashangaza waandishi wa habari huko Mombasa baada ya kutamka mbele ya kamera za waandishi hao wa habari kuwa anahitaji mwanaume wa "kumtuliza wakati wa usiku" jambo ambalo hata hivyo hakufanikiwa kwani hakuna aliyekua tayari kwa jambo hilo. Mwnamziki huyo anayetamba kwa kibao cha "UPEPO" aliyasema hayo bila hofu wala kuona haya akiwa katika show ya Kigoma -All Stars iliyofanyika huko Mombasa.
Si yeye tu, bali kituko kingine ni kuhusu Maunda ambaye alikutwa nyuma ya stage akimwaga chozi baada ya kukerwa na mashabiki OFFSTAGE.
Related posts
Share this post
0 comments: