BOB JUNIOR AKIFUNGUKA KUHUSU VANESSA MDEE
Posted in
No comments
Saturday, December 7, 2013 By Unknown
BOB JUNIOR AKIFUNGUKA
Chanzo cha habari kutoka Clouds fM kupitia kipindi cha 'CLUB 10' cchini ya 'Perfect Crispine' kimeeleza kuwa msanii wa Bongo flava, 'BOB JUNIOR' alipokuwa akihojiwa ni kwanini amemshirikisha Vanessa Mdee katika nyimbo yake na si msanii mwingine, emEeleza jinsi anavyomkubali msanii mwenzie 'VANESSA MDEE'. Mbali na mziki Bob Junior ameeleza sifa mbalimbali zinazomvuta kumpenda msanii huyo wa kike.
"Namkubali sana Vanessa kwani ni msanii pekee hapa Bongo mwenye kipaji na anyejua lugha nyingi na pia tunaendana hata urefu kwa hiyo nilimuona ana fiti nikimshirikisha" Bob Junior akifunguka..!
Related posts
Share this post
0 comments: