Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

JE, UNAJUA KUWA MRISHO MPOTO ANAANDAA NYIMBO AMBAYO ATASHIRIKIANA NA WASANII 600 INAYOKWENDA KWA JINA LA "WAITE"...?

Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown

Mpoto ameiambia tovuti ya Times Fm kuwa muongozaji wa video nchini Adam Juma wa kampuni ya Visual Lab amemwambia kuwa video yake inahitaji watu takribani 600 ili iweze kukamilika kama anavyofikiria.
“Ndo nipo nafanya mazungumzo na Adam Juma, sema ndio hivyo ameniambia video ya Waite inahitaji watu kama 600, ananiambia inahitaji watu wengi sana.”Amesema Mpoto.
“Mimi sikufikiria hiyo kama…sijui… inahitaji watu wengi sana, mimi nilimwambia tu asikilize wimbo halafu aniambie inaweza ikanicost how much. Akaniambia inahitaji watu kama 200 au 300 mpaka 600.”Mrisho ameiambia tovuti ya Times Fm.
Kuhusu tarehe hiyo inatoka lini, Mpoto amesema inabidi video hiyo itoke January mwakani japo hakutaja tarehe.
December 29, msanii huyo alizindua Studio yake binafsi aliyoipa jina la ‘Waite’, ambayo itajikita zaidi katika kuwasaidia wasanii wachanga wenye vipaji kutimiza ndoto zao za kurekodi pamoja kuzisimamia kazi zao, ambapo kwa kuanza itaanza na vijana 15.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.