MARTIN KADINDA ANENA YA MOYONI BAADA YA UJUMBE WA WOSIA KUTOKA KWA JACK CLIFF KUSAMBAA MTANDAONI
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Martin ameiambia tovuti hii kuwa ujumbe uliosambaa katika mitandao, uliandikwa na Jackie mwaka 2010 ambapo alikuwa akimaanisha mambo yaliyokuwa ‘personal’ zaidi.
“Ujumbe uliosambaa ni wa Jackie kweli ila ni wasi kunyingi sana mwaka 2010. Kwahiyo watu walivyoona unafanana na tukio hili wakaona waambatanishe. Nakumbuka ujumbe huu aliuandika sio kwa tukio kama hili yalikuwa ni mambo ya personal,” amesema Martin.
Hata hivyo Martin amesema hawezi kuzungumzia suala la Jackie kukamatwa na dawa za kulevya kwakuwa yeye siyo msemaji.
Jackie Clifford FitzPatrick alikamatwa na madawa ya kulevya Dec 19 mwaka huu akitokea Thailand kwenda Macao alikokamatiwa huku wenzake wawili, Mtanzania na Mnaijeria wakikimbia
Related posts
Share this post
0 comments: