AGONGWA NA TRENI KISA HEADPHONE
Posted in
No comments
Thursday, January 30, 2014 By Unknown
Jamaa mmoja amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi kubwa ya kumpigia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea. Walioshuhudia tukio hilo wamesema treni hiyo ilipiga honi lakini jamaa alikuwa ameweka Head phones masikioni, hivyo hakuweza kusikia.
Related posts
Share this post
0 comments: