AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI LINDI NA KUUA WATU 10 IKIWA 28 NI MAHUTUTI BAADA YA BASI KUGONGANA NA ROLI.
Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014 By Unknown
Miili ya abiria waliokuwamo katika basi hilo.
Askari polisi na raia wengine wakishuhudia tukio hilo
Jana majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa lindi sokoine,
Chanzo cha habari kiliieleza paparazi kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara,
Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali.
Related posts
Share this post
0 comments: