DIAMOND KUFANYA "COLLABLE" NA GODZILLA
Posted in
No comments
Thursday, January 2, 2014 By Unknown
Ni nadra sana kwa Diamond Platnumz kufanya collabo na tena na msanii wa Hip Hop. Mwaka huu hitmaker huyo wa ‘My Number One’ alishirikishwa na Nay wa Mitego kwenye ‘Muziki Gani’ na kushuhudia mafanikio makubwa kwa Nay ambayo ni pamoja na kuongeza mashabiki zaidi na kupata show nyingi zilizomfanya kuwa miongoni mwa wasanii walioingiza mkwanja mwingi mwaka huu.
Sasa ni zamu ya Godzilla kupata neema za Diamond Platnumz, kipenzi cha wengi. Wakali hao watasikika kwenye ngoma ya pamoja iliyofanyika MJ Records na ambayo itatoka mwaka 2014.
“Zilla &diamond platinum&za chaa&marco chalii . ..on the same page ,whts my name jan ....see you 2014,” ametweet Godzilla jana.
Hakuna wasiwasi kuwa hiyo itakuwa hit ya mwaka 2014.
Related posts
Share this post
0 comments: