EPUKANA NA TAMAA YA NGONO
Posted in
No comments
Tuesday, January 7, 2014 By Unknown
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
Related posts
Share this post
0 comments: