LINEX AAMUA KUIMBA NYIMBO ZA HARUSI
Posted in
No comments
Monday, January 13, 2014 By Unknown
Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi wanajaribu kufikiria upande mwingine wa kuweza kupata shilingi,Miongoni mwa hao ni Linex.
Linex leo kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe ambao unawahusu wachumba wanaotegemea kuoana ambapo yeye katangaza rasmi kujihusisha na utungaji wa nyimbo ambao utakuhusu wewe na mwenzi wako,Ujumbe wake kwenye Facebook ulisomeka hivi.
Related posts
Share this post
0 comments: