SERIKALI INAPOKOSA VIONGOZI WANNE KATIKA WIZARA TOFAUTI JE, NCHI INAWEZA KUWA SALAMA PASIPO UWEPO WIMBI ZITO KATIKA UTAWALA?
Posted in
No comments
Friday, January 17, 2014 By Unknown
Ikiwa ni takribani mwezi sasa nchi hii inaendeshwa bila kuwa na mawaziri wanne muhimu na kati ya wizara nyeti ambazo hazina mawaziri ni ile ya Mambo ya ndani na Ulinzi wakiwa kama ndo wanaolinda amani na usalama wa nchi hii.
Na uchelewaji na rais na taasisi nzima kwa ujumla kutoona umuhimu wa mawaziri hao either kwa taifa na wanachi kwa ujumla wameona hauna uharaka au umuhimu wake na yuko kimya kama hakuna kilichotokea.
Kwa upande wangu naona kuna haja ya kupunguza baraza la mawaziri na hata kufuta baadhi ya wizara kwa sababu hazina ulazima kama rais anavyotuonyesha kwa sasa.
Related posts
Share this post
0 comments: