LAMAR KUMILIKI NDEGE BINAFSI
Posted in
No comments
Monday, February 3, 2014 By Unknown
Producer machachari wa HapaBongo anaejulikana kama Lamar ameihabarisha radio moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali. Amesema hizo ndoto alikuwa nazo muda mrefu na ameshaanza Kuongea na wauzaji wa ndege hizo.
Related posts
Share this post
0 comments: