WEMA ATAKA KUAGWA UWANJA WA TAIFA.
Posted in
No comments
Monday, February 3, 2014 By Unknown
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampa kila mtu chance ya kumuaga.
Habari: Udaku Specially
Related posts
Share this post
0 comments: