WEMA SEPETU AONYESHA NIA YA KUTOMKOSA DIAMOND
Posted in
No comments
Thursday, March 27, 2014 By Unknown
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ameonyesha haja na uhitaji wa uhusiano wake na Diamond baada ya kutuma picha inayomuonyesha yeye na msanii huyo wa mziki wa kizazi kipya maarufu kama Diamond Platnamz katika mtandao wa kijamii na kuambatanisha maneno haya, "ALL I NEED IN DIS LIFE I SWEAR, JUST ME ND MY BABY.....". Hebu itazame hapa chini;
'All I need in dis life I swear, just me nd my baby.....'
Related posts
Share this post
0 comments: