Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

MAAJABU: AOKOLEWA NA PAKA BAADA YA KUNG'ATWA NA MBWA.

Posted in
No comments
Friday, May 16, 2014 By Unknown

Screen Shot 2014-05-15 at 5.53.26 PM

Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California, Marekani.

Hata hivyo mtoto huyu aliepatwa na mkasa huu akiwa anacheza nje ya nyumba yao anaendelea vizuri baada kutibiwa jeraha hilo la Mbwa wa jirani ambapo baadae alipelekwa hospitali na kutibiwa majeraha hayo madogo ya mguuni.
Screen Shot 2014-05-15 at 9.51.05 PM

Unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.
Source: Millardayo

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.