BAADA YA MADEE KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE SASA MADEE AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA
Posted in
No comments
Tuesday, May 13, 2014 By Unknown
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”Katika hatua nyingine, msanii huyo yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo mwingine na amewataka mashabiki wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu nini.
Hivi ndivyo alivyowauliza mashabiki wake
Je Unataka Na Unatamani Kuisikia Ngoma Yangu Inayokuja?? Je unahisi Ntakuwa Nmeongelea Kitu gani??
Related posts
Share this post
0 comments: