ORODHA YA WASANII WA KILI MUSIC TOUR 2014 YATAJWA, TWEET YA JAYDEE YAMPONZA, AACHWA MWAKA HUU
Posted in
No comments
Thursday, May 15, 2014 By Unknown
Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.
Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY, Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.
Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.
Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile 'tweet ya dharau' aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika.
Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile 'tweet ya dharau' aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika.
Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini 'ujuaji' wake umemfanya apigwe chini.
Related posts
Share this post
0 comments: