PICHA ZA KIM NA KANYE WEST WAKIWA VACATION ZAWAACHA WATU MIDOMO WAZI.
Posted in
No comments
Friday, May 9, 2014 By Unknown
Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na picha hizi zilizokuwa released hivi karibuni na magazeti ya udaku nchini Marekani...Picha hizi zimewaonyesha wawili hao walikuwa wakifanya hivyo (Picha hizi zilipigwa mwaka 2012).
Tofauti na Jay Z na Beyonce ambao mara kwa mara wamekuwa wakienda vacation ..kwa upande wa Kanye and Kim mara nyingi wamekuwa mitaani na mapaparazi huwapicha picha.
Wengi wanaamini kuwa Kanye anaonekana kuwa sio mtu wakupenda vitu kama Vacations..Anaonekana yuko VERY SERIOUS.....Jionee picha hizo!!
Related posts
Share this post
0 comments: