RAY C KITANDANI TENA
Posted in
No comments
Tuesday, May 6, 2014 By Unknown
Nimepata Habari kuwa Mwanamuziki Ray C yupo hoi Kitandani Akiugua Ugonjwa Mpya Unaojulikana kama Homa ya Dengue...Inasemekana Baada ya kutoa tuzo ya Kill Siku ya Jumamosi Kesho yake alianza kuumwa Kichwa na Baadae alipelekwa Hospitalini Mwananyamala Akidhani ana Malaria, Alipopimwa ikagundulika unaumwa huo ugonjwa wa Denge......Ugonjwa huo inasemekana unaambikizwa kwa kung'atwa na Mbu
Get Well Soon our Hero.
Related posts
Share this post
0 comments: