Sehemu ya 3 na ya mwisho ya Hekaheka iliyoanza Mei 14.
Posted in
No comments
Friday, May 16, 2014 By Unknown
Related posts
Share this post
Imekua Hekaheka ndefu kutokana na ukubwa wa stori ambayo kila upande imebidi wasikike Mei 14 ulimsikiliza mama wa mtoto ambaye inasemekana hakufa kama wanavyojua,aliongea vitu vingi kisha mei 15 ambayo ni jana alisikika Mganga ambaye inasemekana ndiye aliyemwambia mama wa mtoto kuwa hakufariki mtoto huyo.
Sasa hii ya leo unamsikiliza Mzee ambaye ndiye anasemekena kumchukua mtoto huyo kwenye mazingira yanayohusishwa na imani za kishirikina.
104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.
Bonyeza play kusikiliza.
Related posts
Share this post
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.
0 comments: