Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

SENETA WA KENYA KUZUA KITUKO, NI NGUO ALIYOVAA ILIYOWAFANYA VIONGOZI WENZIE KUBAKI MIDOMO WAZI NA KUZUA MIJADALA YA CHINICHINI. ANGALIA PICHA HAPA.

Posted in
No comments
Thursday, May 15, 2014 By Unknown

ss 3

Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekan tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo.

ss 2

Uhuru na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaa jean iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri tu.   ss

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.