Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

G-UNIT KURUDI TENA NDANI YA GAME.

Posted in
No comments
Tuesday, June 3, 2014 By Unknown

g unit
Kundi maarufu kwenye muziki wa Hiphop linalojumuisha wasanii kama 50 Cent,Llyoid Banks,Young Buck na Tony Yeyo waliwahi kutamba sana kwenye muziki wakiwa kama kundi na solo artist.
Baada ya muda waligawanyika baada ya msanii Young Buck kujitoa na hata utawala wao kwenye muziki ukapungua. Hivi sasa 50 cent amepost picha ikidokeza kwamba kundi hilo limeungana tena kama zamani.
Picha hiyo inawaonyesha wasanii hao wanne wakiwa kwenye pamoja na 50 cent aliandika, “Things go the way I say they go.now I think it’s time we get busy”.
g unit2
Kwenye comment ya picha hiyo mashabiki wengi wameonekana kufurahia kuungana tena kwa kundi hilo, hii ni  moja nyimbo zilizowahi kufanya vizuri enzi zao wakiwa pamoja.

Use Facebook to Comment on this Post

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.