HUU NDIO MUONEKANO WA MTOTO WA CIARA NA FUTURE WASANII WA MZIKI KUTOKA MAREKANI
Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown
Ciara aliwai kuonyesha sehemu ndogo ya mkono wa mtoto wake na rapper Future siku chache baada ya kuzaliwa. Lakini ilipofika Father’sDay alitumia picha ya mwanae kum-wish happy farther’s day baba wa mtoto huyo ambaye ni Future.
Pamoja hiyo picha Ciara aliandika,“Hey Dad aka Big @Future…Baby Future Loves You. #HappyFathersDay.”
Related posts
Share this post
0 comments: