HUZUNI : MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA.
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown

Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
Hii ni May 25 2014 wakati Rais Kikwete alipomtembelea mama Zitto ICU kwenye hospitali ya AMI Dar es salaam. (picha ilipigwa na Freddy Maro)
Related posts
Share this post




0 comments: