SOKO LA KARUME KUTEKETEA KWA MOTO.
Posted in
No comments
Wednesday, June 11, 2014 By Unknown
Endelea kufuatilia kwelimc.blogspot.com kwa taarifa zaidi
Related posts
Share this post
Ikiwa moto bado ni mkali, unazidi kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipodhibitiwa mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa. Chanzo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya "Mama Ntilie" (ambao inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri)
Endelea kufuatilia kwelimc.blogspot.com kwa taarifa zaidi
Related posts
Share this post
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.
0 comments: