BAROZI WA LIBYA NCHINI TANZANIA AJIPIGA RISASI NA KUFARIKI.
Posted in
No comments
Thursday, July 3, 2014 By Unknown
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la BBC, tukio hilo la kusikitisha limetokea Jumanne usiku, Dar es Salaam Tanzania.
Msemaji wa serikali ya Tanzania, Arthur Mwambene amethibisha taarifa za kujiua kwa balozi hiyo.
Related posts
Share this post
0 comments: