MAENDELEO YA VIDEO MPYA YA SHETTA - KEREWA HII HAPA
Posted in
No comments
Thursday, July 3, 2014 By Unknown
Moja ya malengo ya Shetta kwenda kufanya video nje ya Tanzania yameanza kutimia na kwa mara ya kwanza video ya Shetta imepata airtime kwenye kituo hiki.
Video ya Shetta imetambulishwa kwenye kituo cha MTV Base kwenye kipindi maalum cha kutambulisha video mpya.
Related posts
Share this post
0 comments: