DIAMOND KATIKA HARUSI YA P SQUARE
Posted in
No comments
Saturday, December 21, 2013 By Unknown
Diamond & Iyanya
Diamond amezidi kuthibitisha kua yuko juu baada ya kupost picha akiwa na Mchezaji maarufu kutoka Ghana (pia anaichezea Klabu ya Totenham) “Emanuel Adebayor..Tazama picha hiyo hapa chini…
Emanuel Adebayo & Diamond
Peter & Emanuel Adebayo
Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
TAZAMA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Related posts
Share this post
0 comments: