Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

HILI NDILO SAKATA LA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AISHA KULIPWA MIL.500 ......(AISHA MADINDA) SOMA ZAIDI HAPA

Posted in
No comments
Saturday, December 21, 2013 By Unknown

....baada ya mitungi, mikasi....Aisha akiwa na Khumalo
Kampuni ya Global Publishers Ltd, inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa Wikienda, Risasi, Amani na gazeti hili, iko tayari kumlipa kiasi cha shilingi Milioni mia tano, mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ikiwa atatoa uthibitisho kwamba, picha za utupu alizopigwa nchini Afrika Kusini ni za kutengenezwa, soma data chini.

Ofa hii imekuja siku mbili baada ya gazeti moja la michezo na burudani linalotoka mara mbili kwa wiki, toleo la Jumanne Mei 18, 2010 kuchapisha makala kuhusu Aisha akikanusha kuwa, picha zile si zake na kwamba zilitengezwa na mbaya wake kwa lengo la kumchafua jina.
Hata hivyo, katika makala hayo, Aisha alishindwa kuthibitisha picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza.


Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.


Moja ya ushahidi huo, katika picha za video, kuna sehemu Aisha anaongea kwa tambo akiwaponda watu wanaomfuatafuata na kumsema vibaya.0
Tunamnukuu: “Wanasema eti nimeishiwa, nimekosa nauli ya kurudi Tanzania, waende basi kwa huyo Asha Baraka wakaseme, maana wamezidi kwa maneno.” 


Hata hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi.

Tunamnukuu Asha Baraka: “Mimi kwa Aisha ni kama mama au dada yake, na ninavyojua, mtoto anapojisaidia kiganjani mzazi huwezi kuukata mkono bali utausafisha kisha kuyaacha mambo yaendelee. Vivyo hivyo kwa Aisha, kafanya kosa lakini hakuna kosa lisilostahili msamaha, kwahiyo asamehewe.


“Atakachokifanya Aisha ni kuomba radhi kwa mashabiki wake na katika kila sehemu ambayo tutafanya shoo atafanya hivyo kabla ya kuanza kutumbuiza.”
 
.....mimi siyo Aisha niangalieni vizuri...!!!!!

“Huyo anayenichafua alikuwa ananitaka kimapenzi nikamkatalia na siwezi kumkubalia, hata kwa mtutu simpi mwili wangu ng’o, kuamua kunitangazia sifa chafu si suluhisho la mimi kumkubali, zaidi ya kumuona kichekesho kwani katika jamii ya watu wastaarabu hafai, namfananisha na ‘nungayembe’ la kiume,” alisema Aisha katika sehemu ya habari hiyo.

Aidha, aliongeza: “Picha za ngono zilizoenea kila kona ya nchi, zinazonihusu mimi si za kweli, amefanya hivyo kwasababu ‘nilimpiga za uso kavukavu bila chenga’, siwezi kupoteza muda wangu kubishana naye, nitakuwa nampandisha chati, lakini ajue hata kwa mtutu hapati kitu kwangu.” 

Katika juhudi za kulishusha ‘grade’ gazeti hili, sehemu ya habari hiyo ilisomeka, ‘Anadai amekuwa akikabiliwa na tuhuma za kupiga picha za ngono na utupu zilizosambazwa sehemu mbalimbali hasa katika magazeti ya udaku, ambapo kiuhalisia si zake.
Katika hatua nyingine, mapema wiki hii, kijana Khumalo aliyefanya naye uchafu huo nchini Afrika Kusini, amelitumia waraka pepe (e-mail) gazeti hili akiomba msahama kwa Aisha.

Alisema anakiri kumtenda vibaya (kupiga na kulikisha picha hizo) mnenguaji huyo, lakini anamuomba amsamehe na waanze ukurasa mpya

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.