GARI LA MAGEREZA LASHAMBULIWA KWA RISASI
Posted in
No comments
Wednesday, July 2, 2014 By Unknown
Taarifa za awali zinadai kuwa Basi lililokuwa limebeba wafungwa limeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Mayfair Mikocheni jijini Dar es salaam.
Basi hili lilikuwa likitokea mahakama ya Mwanzo Kawe ambapo kwasasa Basi hilo liko polisi Osterbay na wafungwa hao ndani yake.
Picha zote ni kutoka Ukurasa wa Twitter wa @Semkae Via millardayo
Related posts
Share this post
0 comments: