PROFESSOR J AILILIA MBEYA.
Posted in
No comments
Monday, December 16, 2013 By Unknown
Msanii wa mziki Joseph Haule maarufu kwa jina la Professor J ameonyesha kupendezewa na timu ya mpira wa miguu kutoka jijini Mbeya( Mbeya City Football Club). Ameonyesha hayo katika timeline yake ya Instagram ambapo wadau wamebonga mengi kuhusiana na hili. Hebu cheki hapa chini...
kingzilla_tz
hahahaahhaah
izzo_bizness
Woyoooooooooooo
professorjaytz
@bigmankim we umesahaau wakati ule tunaitwa kiboko ya vig0go??
professorjaytz
@izzo_bizness Au SIO biznaaaaaaaah
professorjaytz
@graccey11 sasa huo si ndio uzalendo yakinifu??
bigmankim
@franchesco_geo Msimbazi huyooooo! Anakimbia aibu tu.
professorjaytz
@kingzilla_tz karibu nawe pia wakwetu maana RUVUMA SIO mbali kiihivyo
kingzilla_tz
@professorjaytz lol,Tawile Baba
professorjaytz
@gilo0969 sawa sawa tutakaribia wangu
sarahmwambusi
Yerewuuu karibuuu
johnchelseamania
Karibu ku mbeya city. Sijui tuwaite banyambala na hawa?
the_real_njobe
Hahahahahahahaaaa karibu sana kaka si hatuna hiyana tunapokea ndg bila kinyogo @professorjaytzcc @izzo_bizness
bigmankim
@professorjaytz Umenikumbusha mbali sana...Duncan Butinini, Fikiri Magoso, Mbui Yondani....Yamungu.
snuramushi
Usiogope @professorjaytz
scoberanger
ndaga fijooo....
beingaidancharlie
Acha uoga Brendan Rogers hawawezi kutufunga tano hawa @professorjaytz
quickrocka
Woyoooo Karibu bro....#MbeyaCity @professorjaytz
ericknyari06
Nice 1 mzaz
thebestfinah
Nakushaur uhamie maji maj bro.....
kichupag2
Acha mambo yako ww mm mbona nimesoma hiyohiyo mkuu
Related posts
Share this post
0 comments: