SANAMU KUBWA DUNIANI YA NELSON MANDELA IMEZINDULIWA HUKO MJINI PRETORIA
Posted in
No comments
Monday, December 16, 2013 By Unknown
Sanamu ya aliyekua Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Aliyefariki tarehe 5 mwezi huu imezinduliwa huko mjini Pretoria ikiwa ni siku moja baada ya mazishi yaliyofanyika huko Qunu.
Pembeni ni Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma akishikana mkono na mjukuu mkubwa wa Nelson Mandela, Mandla Mandela baada tu ya uzinduzi wa sanamu hiyo.
Related posts
Share this post
0 comments: