UJUMBE ALIOUTOA MWANA FA BAADA YA KIFO CHA NELSON MANDELA
Posted in
No comments
Saturday, December 21, 2013 By Unknown
Nelson Mandela, mwanaharakati aliyeenziwa kwa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na 95. Mandela, aliyechaguliwa kuwa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini na kutumia karibu miongo mitatu gerezani, alikuwa akisumbuliwa na maambukizi kwenye mapafu. Dunia nzima inaomboleza kifo cha shujaa huyu. Miongoni mwa waliomzungumzia ni pamoja na Mwana FA ambaye ameandika: “Rest in peace Tata..ameteseka sana hapa mwishoni,na akapumzike sasa…The G.O.A.T kwenye siasa za Afrika. Unaona watu walivyoguswa na kifo cha Madiba,ndivyo maisha ya watu wema yanavyosherehekewa..maisha yake ni ‘mwalimu’..RIP Tata Madiba,” ametweet. Kwenye Instagram pia ameandika: A good head and good heart are always a formidable combination.But when you add to that a literate tongue or pen,then you have something very special..R.I.P Tata.”
Related posts
Share this post
0 comments: