DIAMOND ADAKA SHAVU JINGINE HUKO NIGERIA
Posted in
No comments
Saturday, April 12, 2014 By Unknown
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.
Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na Diamond na kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz #AfricanPrince #NaijaTanzania”
Dr Sid anafanya kazi chini ya Mavin Records ya Don Jazzy na alishawahi kushinda tuzo kubwa duniani ikiwemo ‘Hiphop World Awards’ ambapo mwaka 2011 alichukua tuzo mbili za Hiphop World Revelation of the year na Best Pop Single.
Related posts
Share this post
0 comments: