SWALI LILILOKOSA JIBU JUU YA UHUSIANO WA KARIBU WA DJFETTY NA DIAMOND
Posted in
No comments
Saturday, April 12, 2014 By Unknown
Hot in town kuhusu relationship waliyokuwa nayo kati ya Dj Fetty na Diamond Platnumz,
Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi ambacho wamekuwa wakipost kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara picha za pamoja,
Lakini Kibongobongo Mpango Mzima, imejaribu kuzisaka news na nakugundua ya kwamba watu hao wawili walikuwa nchini nigeria kwenye tour na project ya kutengeneza nyimbo mpya kwa superstars kutoka Afrika akiwemo Dbanj, Fally Ipupa na bongo tukiwakilishwa vyema na Diamond. Tour yenyewe ilikuwa ni ya kuimba nyimbo ambayo itawahamasisha vijana wajihusishe kwenye kilimo. Na wala hakuna lolote kama ilivyozungumzwa hapo awali.
Related posts
Share this post
0 comments: