JB AJIACHIA NA MKEWE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.
Posted in
No comments
Saturday, April 26, 2014 By Unknown
Baada ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi.
JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe, hongera sana, Mungu awajalie,” alisema Mayasa Mrisho ‘Maya.
Related posts
Share this post
0 comments: