DAVIDO ATAMBA MWAKA 2014 NA GARI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 200 ZA KIBONGO
Posted in
No comments
Saturday, April 26, 2014 By Unknown
Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamuweka katika nafasi nzuri na kupata kila atakacho kwenye maisha yake. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na ukifuatilia radio na television kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye na Gobe ambazo ni kazi za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni dola140,905 ambazo nikama milioni 200 za Tanzania. Don't touch aysee.
Related posts
Share this post
0 comments: