Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

HIVI NDIVYO MASHABIKI WALIVYOMTIA SUMU TID BAADA YA MATUSI YAKE MTANDAONI DHIDI YA RAY C

Posted in
No comments
Thursday, July 3, 2014 By Unknown



Huu ni muendelezo wa story ya jana inayomhusu TID kumtusi sana Ray C baada ya Ray C kumwambia TID katikak intsgram kwamba aende kwa Ray C waongee maana TID ni msanii bora Afrika Mashariki. Ingia hapa kujimumbusha habari hiyo.



Baada ya Matusi ya TID kwa Ray C, mashabiki wa muziki wamemshushia maneno (matusi) mazito TID. Maoni ya raia hao yanaonesha kwamba TID aliitwa na Ray C ili apewe ushauri wa kuachana na madawa ya kulevya kama alivyofanya kwa wengine ambao baadhi wapata matibabu na wanakaribia kupona. 

Kwa kutunza maadili ya tovuti yetu hatutaweza kuyaweka maoni ya mashabiki hao yaliyojaa matusi mengi sana kwa TID. Kama TID amebahatika kuyasoma maoni hayo atakuwa aidha kakasirika sana au atajifunza kitu.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.