Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

Terrence J,Chaka Zulu na David Banner watoa madini kwa wasanii,wadau na waigizaji juu ya biashara ya sanaa.

Posted in
No comments
Tuesday, July 15, 2014 By Unknown

21kmnIle ahadi aliyoiahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete leo imetimia baada ya wasanii mbalimbali wa filamu na waimbaji wa muziki kutoka kwenye aina tofauti ya muziki ikiwemo waimbaji wa Bendi,nyimbo za Injili na Bongo Fleva.
Terrence J,Chaka Zulu na David Banner ndio walikua waongozaji wa semina hiyo ambayo ilianza saa 4 asubuhi na kumalizika jioni saa 11 na nusu July 14,miongoni mwa wasanii waliiopata nafasi ya kuongelea changamoto za muziki wa Tanzania ni pamoja na Khadija Kopa.
Khadija Kopa amesema muziki wa Tanzania una changamoto nyingi na kusema ili kuwe na mafanikio kwenye sanaa yetu ya Tanzania kuna umuhimu wa wasanii wote kuwa na umoja ndipo mengine yatafuata na kuwa rahisi.
Wadau hao wamekuja nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa muziki na filamu ili kuweza kujiingizia kipato kupitia kazi zao na kujitangaza zaidi kimataifa,semina hii imefanyika kwenye ukumbi wa BOT uliopo Posta Dar es salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za semina hiyo.
3kmn
5kmn
10kmn
11kmn
2kmn
13kmn
15kmn
19kmn
20kmn
21kmn
22kmn
25kmn
27kmn
28kmn
31kmn
35kmn
39kmn
61kmn
58kmn
55kmn
49kmn
48kmn
40kmn
62kmn
64kmn
66kmn
67kmn
70kmn
71kmn
83kmn
82kmn
75kmn
72kmn
77kmn
87kmn
97kmn
104kmn
109kmn
115kmn
122kmn
131kmn
137kmn
141kmn
153kmn
152kmn
206kmn
195kmn
211kmn
238kmn
239kmn
242kmn
236kmn

Habari: Millardayo

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.