BREAKING NEWS: WAZIRI WA FEDHA DR. WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA
Posted in
No comments
Wednesday, January 1, 2014 By Unknown
Aliyekua Waziri wa fedha ambaye pia alikua mbunge wa jimbo la
Kalenga kupitia chama cha CCM tangu 2010 Dr. William
Mgimwa, ameripotiwa kuwa amefariki dunia leo mchana
mnamo saa 6:20 huko Mediclinic Kloff, Afrika Kusini
alikokuwa akitibiwa.
Habari: Chanzo chetu.
Related posts
Share this post
0 comments: