DIAMOND PLATNAMZ KUTEKA KURASA ZA VYOMBO VYA HABARI NAIROBI KENYA
Posted in
No comments
Saturday, January 25, 2014 By Unknown
Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbalimbali za Nairobi, baada ya kufanya mahojiano na Tuva wa Mambo mseto, alifanya mahojiano na Kiss Tv kisha akafanya mahojiano na waandishi kutoka vyombo vingine vya habari waliokuwa wakimsubiri nje. Kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto kama asemavyo yeye, kikubwa
walitaka kufahamu kuhusu mipango yake ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yake kwa ujumla.
Director wa kipindi, Kiss Tv akimuweka Mic
Mahojiano na Kiss Tv
Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinimsubiri
Mahojiano yakaanza na waandishi wa majarida na magazeti
Related posts
Share this post
0 comments: