Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

SIASA YA CHADEMA 2014 KUPAMBWA NA MAJENEZA HUKO MBEYA

Posted in
No comments
Saturday, January 25, 2014 By Unknown

Wananchi wa mkoa wa Mbeya wakiwa na mabango yaliyobeba ujumbe kumkaribisha Dr. Slaa na kuonyesha kutomkubali Zitto kama kiongozi mwenye mogoro na chama hicho cha siasa (CHADEMA)

Pichani ni wananchi kutoka Mkoa wa Mbeya na wanachama wa CHADEMA wakiwa wamebeba jeneza lililoandikwa buriani Zitto.

Nini hasa maana ya uwepo wa majeneza yaliyo na ujumbe huo.....!? Mimi na wewe hatujui, tafakari...!

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.