Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

JE, WAJUA KUWA LADY JAYDEE ALITOA MWALIKO KWA FUNS WAKE KATIKA PAGE YA FACEBOOK?

Posted in
No comments
Saturday, January 18, 2014 By Unknown



Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili) 
Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache waliobahatika, watawawakilisha na wengine. 

Nimeona badala ya watu kumi niongeze wengine wanne wamekuwa 14...(Bonus) 
Nashukuru kwa kuendelea ku like page yangu.
1. GENI GENI
2. OBADIA USWEGE
3. MARTIN WAFUALA
4. FRANK NYABILI
5. POPE RAY MBISHI
6. MSAFIRI MSAMI
7. EDWIN EMMANUEL
8. QUADRAH CHARITY
9. ALVEEH CHELSEA BLAQ
10. HASHYME MDETY
11. PATRICK KAPUS KASIRIM
12. STANLEY MCHOME
13. PROSPER DAUD
14. FJ JUMA

Mta inbox namba zenu za simu, ili muweze kupatiwa utaratibu wa jinsi gani mialoko itawafikia... Hongereni na tutaonana Valentines Day.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.