WATAMBUE MAWAZIRI WAPYA HAPA
Posted in
No comments
Sunday, January 19, 2014 By Unknown
Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya,
Asha Migiro ni waziri Katiba na Sheria
Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi
Malima Waziri Mdogo Fedha
Kebwe ni Waziri Mdogo Afya
Chikawe ni Waziri Mpya Ndani
Mhagama Waziri Mdogo elimu
Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kina Mama
Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo
Waziri Mdogo Telele Mifugo
Related posts
Share this post
0 comments: