Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

D' BANJ AVUNJA UNDUGU NA KANYE WEST

Posted in
No comments
Friday, March 28, 2014 By Unknown

D’banj amekanusha fununu kuwa hayupo tena chini ya label ya Kanye West inayofahamika kama "G.O.O.D Music" huko Marekani. Tetesi hizo zilianza mwezi uliopita baada ya staa huyo wa Nigeria kufuta ‘G.O.O.D Music’ kwenye biography ya Twitter na hivyo kuamsha fununu nzito na kutamka kutanabaisha wengi kuwa hayupo tena kwenye label hiyo.


D' Banj

Hata hivyo D’banj amesisitiza kuwa yeye na Kanye bado ni watu wa karibu kwenye biashara.

“Me and Ye (Kanye) are cool; the last time we spoke we talked generally about my career and what his visions are. He is still my mentor, he is still the one I go to when I need something,” D’banj alimuambia mtangazaji wa Uingereza Tim Westwood alipohojiwa.

Koko Master pia alisema kuwa yeye na Kanye West wamepanga kufanya video ya wimbo wao are ‘Scape Goat’. “We are still working together. ‘Scape Goat’ is still in the working and we are still trying to work on the video. We just want to get everything right because we have done so much music together,” alisema.


Habari-Bongo5

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.