Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

UTABIRI WA MCHUNGAJI TB JOSHUA JUU YA NDEGE YA MALYSIA ILIYOPOTEA KUWA IMEANGUKA KATIKA BAHARI YA HINDI NA HAKUNA ALIYEPONA KUTIMIA.

Posted in
No comments
Sunday, March 30, 2014 By Unknown

Kama week sasa imepita Muhubiri na Mtabiri mkubwa wa Nchini Nigeria alitabiri kuwa Ndege ya Malaysia iliyopotea muda si mrefu wataipata ikiwa chini ya maji na wataanza kuona mabaki ya ndege yakielea juu ya maji ..Sasa leo habari mpya kuhusu ndege hiyo ni kuwa Huku Nchini Australia yameonekana mabaki ya ndege kwa njia ya Setelite ambayo bado yanafanyiwa uchunguzi kama ni ya ndege hiyo ..Habari kamali soma hapa chini:


"The Malaysian prime minister has confirmed that there is a new lead in the investigation into the missing Malaysia Airlines flight MH370.
Australian search aircraft are investigating two objects spotted by satellite floating in the southern Indian Ocean that could be debris from a Malaysian jetliner missing with 239 people on board, Prime Minister Tony Abbott said on Thursday.

"I can confirm we have a new lead," Malaysian Transport Minister Hishammuddin Hussein told reporters in Kuala Lumpur, where the investigation into the missing airliner is based.

"I am meeting the Australian delegation now," he added. we are waiting for some information."

Another official in Malaysia said investigators were "hopeful but cautious" about the Australian discovery. The satellite images were being reviewed and they were awaiting visual confirmation, the source said.

No confirmed wreckage from Malaysia Airlines Flight MH370 has been found since it vanished from air traffic control screens off Malaysia's east coast early on March 8, less than an hour after taking off from Kuala Lumpur for Beijing.

"New and credible information has come to light in relation to the search for Malaysia Airlines Flight MH370 in the southern Indian Ocean," Abbott told the Australian parliament.

"The Australian Maritime Safety Authority (AMSA) has received information based on satellite imagery of objects possibly related to the search."

"Following specialist analysis of this satellite imagery, two possible objects related to the search have been identified," he said.

Abbott said he had already spoken with his Malaysian counterpart Najib Razak and cautioned that the objects had yet to be identified.

"The task of locating these objects will be extremely difficult and it may turn out they are not related to the search for MH370," Abbott said"


Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo imedhihirika tena kwa mara nyingine kuwa utabiri wake ni wa Kweli , kwani imethibitika kuwa ndege hiyo ilianguka kwenye bahari hiyo na hakuna aliye pona.........

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.