RAMBO KUACHIA MOVIE MPYA. PATA STORI HAPA.
Posted in
No comments
Wednesday, June 25, 2014 By Unknown
Mwigizaji Sylvester Stallone amesaini mkataba mpya kwa ajili ya kucheza filamu ya tano ya Rambo.
Nyota huyo pia tayari ameanza kuandika muswada kwa ajili ya filamu hiyo inayohusisha jeshi la mtu mmoja John Rambo.
Kampuni ya filamu ya kijerumani ya Splendid, katika taarifa yao wamesema kuwa wanamrudisha Rambo V, Sylvester Stallone katika uhusika wake ambapo sasa anakuja Rambo mpya katika upande wake mwingine.
Wakati huo huo, Stallone ataingia katika majumba ya sinema mwezi Agosti katika filamu ya “The Expendables 3.”
Related posts
Share this post
0 comments: