BOW WOW KUBADILISHA JINA.
Posted in
No comments
Wednesday, June 25, 2014 By Unknown
Mwaka 1993 alipewa jina la Lil Bow Wow na Snoop Dogg, ikafika mwaka 2002 akabadilisha jina kujiita Bow Wow kwa sababu aliyosema amekuwa mkubwa na sio Lil tena.
Hivi sasa amesema ikipita BET awards ataacha kutumia jina la Bow Wow na kutumia jina lake halisi la Shad Moss.
Kupitia video ya instagram alisema,”After BET awards I will no longer go by Bow Wow. Im going by my real name Shad Moss we made a lot of history as bow wow. Now its time for the next chapter and challenge.”
Aliendelea kutoa sababu ya kubadilisha hilo jina alisema,“Bow wow does not fit who i am today. Ima father, business man, TV host, Actor, and rapper! Time for MR Moss to take over!”
Bow Wow hivi sasa ana miaka 27 na BET awards zitafanyika June 29 na baada ya hapo ataanza kuitwa Shad Moss.
Related posts
Share this post
0 comments: