ANGALIA HAPA VIDEO YA MASHAIRI YA PROTOKO @VICTORIA KIMANI FT. DIAMOND NA OMMY DIMPOZ
Posted in
No comments
Wednesday, June 25, 2014 By Unknown
Ni single ya mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambayo kawashirikisha mastaa wa bongofleva Tanzania Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.
Wakati tukisubiria video yao, wametutengenezea video ya mashairi iliyoambatana na hii single ya ‘prokoto’ kwa wale tunaopenda kujua kimeimbwa nini.
Related posts
Share this post
0 comments: