B12 NAYE AFUNGUKA KUHUSU YEYE PAMOJA NA WENZAKE ADAM MCHOMVU NA DIVA KUTIMULIWA CLOUDS
Posted in
No comments
Thursday, January 16, 2014 By Unknown
Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.
Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo, kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye akamwagika kimtindo huu,
“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow apart” – B12
Habari: Udaku Specially
Related posts
Share this post
0 comments: