HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA TERRENCE J TANZANIA.
Posted in
No comments
Monday, July 14, 2014 By Unknown
Related posts
Share this post
Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga ardhi ya Tanzania July 10 2014.
Hii imekua ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliyoiahidi Dodoma kwenye kampeni ya Tanzania Naiaminia kuleta wadau wa muziki na filamu wanaotambulika kidunia kwa nia ya kubadilishana mawazo na wadau wa muziki Tanzania.
Terrence J mchana wa July 12 alikutana na mashabiki wake kwenye duka la A Novel Idea lililopo Slipway Msasani ambapo alikua akigawa bure kitabu cheke cha “The Wealth Of My Mother’s Wisdom”kama Clinic kwa watu 100 wa kwanza.
Vitabu hivyo viliwekwa saini ya yeye mwenyewe Terrence J. Usiku wa July 12 wafatiliaji wa filamu zake usiku huu walikuwa nae kwenye redcarpet ya mlimani City na baadae kwa pamoja nae wakashuhudia filamu yake ya ‘Think Like A Man Too’
Picha: Millardayo
Related posts
Share this post
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.
0 comments: